
Tajiri Gig Chao ambae ni baba wa Cecil Chao ametangaza kampeni kampeni ya atakae muoa binti yake ambae ni msagaji. Siku chache zilizopita Cecil(33) alifunga ndoa ya jinsia moja na mwanamke mwenzie ambae walikua na mahusiano ya zaidi ya miaka saba.
Gig Chao alisema "Sitajari awe masikini au tajiri ili mradi awe mkarimuna mwenye moyo wa upendo"
No comments:
Post a Comment