Sunday, September 23, 2012

MKANDA WA NGONO WA KANYE WEST WAINGIA MTAANI



Kanye West yupo matatani baada ya mkanda wa ngono ukimuonesha yeye akifanya mapenzi na binti anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18.
Inasemekana mkanda huo ulirekodiwa kabla Kanye West hajawa mpenzi wa Kim Kardashian, na kwa jinsi mkanda unavyo onesha inaonekana Kanye mwenyewe alijirekodi kwani alikuwa akiweka kamera sawa kila wakati kwa ajiri ya kubadilisha staili tofauti tofauti.
Mtandao wa radaronline.com umethibisha kuvuja kwa mkanda huo na sasa upo mtaani kwa ajiri ya mauzo.

No comments:

Post a Comment