Saturday, September 15, 2012

MLEMAVU WA MIGUU ATINGA JUU YA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO KWA MIKONO

A man who lost both his legs as a child has become the first to scale Mount Kilimanjaro using his hands.  


Spencer West, (31) kutoka Toronto Canada amefanikiwa kufika juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro kwa kutimia mikono kwa muda wa siku saba.
Mr.West ambae alifanya maandali ya kutosha kwa muda wa mwaka mmoja alifanikisha zoezi hilo akiwa na rafiki zake David Johnson na Alex Meers.  pia inasemekana 50% ya watu wanaopandaga mlima huo hufanikiwa kufika kileleni.

No comments:

Post a Comment