Thursday, June 28, 2012

JAMAA AMUUA MPENZI WAKE KISA KAMNG'ATA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WAKIFANYA MAPENZI

Laura Lee Robertson and James Leopold
James leopard (33) amehukumiwa miaka 7 jela kwa kosa la kumuua mpenzi wake Laura robertson(47)  kama unavyowaona hapo juu katika picha, kushoto ni merehemu Laura enzi za uhai wake na mpenzi wake aliesababisha kifo chake James.
James aliijitetea mahakamani kuwa Laura alikusudia kumng'ata na yeye kwa maumivu alimpiga bahati mbaya shingoni hali iliyosababisha kifo cha Laura.
Maiti ya Laura ilikutwa imatupwa Porini mwezi mmoja baada ya kifo chake.

Wednesday, June 27, 2012

50-CENT ARUHUSIWA HOSPITALINI

50 Cent is put on a stretcher and in a neck brace after crash

Baada ya kupata ajari jana ya gari lake kugongwa na roli, sasa 50 ameruhusiwa hospitalini na anaendelea vizuri.

AMITABH BACHCHAN HAJAFA

Fake stories of Big B's death doing rounds on net 

Kumekuwa na habari zikiendelea midomoni mwa watu kuwa Star wa Bollywood Amitabh Bachchan amefariki kwa ajari ya gari.
Mtandao wa THE TIMES OF INDIA umethibitisha kuwa Amitabh hajafa na stori za kifo chake zilianzia katika blog moja iliyoweka hadi picha ya ajari ya gari aliyopata star huyo.
kumekuwa kukizushwa habari za uwongo hivi karibuni, kwani hivi karibuni star mwingine wa Bollywood RAJESH KHANNA  alizushiwa amefariki .
Amitabh yupo hai na anaendelea ku tweet katika mtandao wa twitter ingawa hajasema chochote kuhusu uzushi huo. 

PICHA ZIKIMUONESHA KIONGOZI WA JUMUIA YA MADAKTARI DOKTA ULIMBOKA SAA CHACHE BAADA YA KUOKOTWA BAADA YA KUTEKWA


                                                             



 
 





 Usiku wa jana watu wasiojulikana walifika nyumbani kwa dokta Ulimboka na kujitambulisha kama askari, watu hao waliondoka na Dokta ulimboka kuelekea barabara ya bagamoyo.
Hadi leo mapema alipookotwa akiwa yupo taabani na watu wa shirika la haki za binadamu waliokuwa wanamtafuta baada ya kupata taarifa zaa kutoweka kwake.
Watu hao wa Shirika la haki za binadamu walimuokota Dk.Steven Ulimboka katika eneo la Mwabepande,Dar es salaam.
                                                        

Tuesday, June 26, 2012

50-CENT APATA AJARI MBAYA

50 Cent

Rapa 50-cent amepata ajari mbaya baada ya gari lake aina ya SUV kugongana na roli.
Mtandao wake wa THIS IS50 umelezea na kusema kuwa 50 aliwaishwa hospitali haraka huku akiwa amewekewa neck brace baada ya kuonekana kuumia kwa shingo yake,hakuna habari kamili mpaka sasa zinazoelezea maendeleo ya 50.

Monday, June 25, 2012

JAMAA AFANYA MAPENZI NA MBWA KISA MKEWE KAMYIMA UNYUMBA

Nicholas Saunders


Nicholas Saunders alifumwa na mkewe akifanyamapenzi na mbwa wao.
polisi walisema kuwa mke wa Mr.Ncholas alishtushwa na alichokiona na alishindwa kuamini alichokiona baada ya kumuona mumewe akifanya mapenzi na mbwa.
"baada ya kuongea kwa muda mrefu na na kumkatalia kumpa penzi alishuka chini ya ngazi ila sikujua kilichoendelea hadi nilipo kwenda chini kumtafuta ndipo hapo nilipopatwa na mshtuko kwa kile nilichokiona"  alisema Mrs.Nicholas.
Nicholas amefunguliwa mashtaka na sasa kesi inaendelea na mkewe amesha omba talaka.

UGOMVI WA WA ANT-VIRUS NA RUGE HAUJAKWISHA



Bifu ambalo lilimalizika hivi karibuni kati Ruge Mutahaba na mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu linasadikiwa kurudi upya baada ya kukosekana kwa maelewano, pamoja na kitendo cha mkurugenzi mtendaji wa Clouds Media Group kuwashitaki wasanii wawili wa Anti Virus James Kasulwa na Levinson Kasulwa maarufu kwa jina la Mapacha.
Baadhi ya wasanii ambao wamelizungumzia bifu hilo ni Mkoloni na kusema, yeye hakuhusika kwenye makubaliano yaliyofanyika kati ya Ruge na Sugu. Amesema lakini alipokwenda kuangalia makubaliano hayo, aligundua hayakuwa na maslahi kwao na kuamua kusimama upande ule ule. Msanii mwingine G Solo naye alisema kwamba hadi sasa yeye hajui kwanini wasanii wenzake wawili ‘Mapacha’ walishitakiwa, hivyo kwake anaona maelewano hamna, na bado ataendelea vita kama kawaida.
Wakati huo huo Sugu naye alipoulizwa kuhusu makubaliano hayo, alisema kwamba kwa sasa yupo kwenye uchaguzi mdogo Arumeru, kwa hiyo akishamaliza na atakaporudi ataongelea kwa kina mambo hayo. Hali hii imepelekea kuhisi kwamba mgogoro huo umerudi tena. Wasanii hao ‘Mapacha’ watafikishwa katika mahakama ya Kisutu leo, saa saba mchana.

ARUSHA YATANGAZA VITA NA MADEE


Kama ilivyozoeleka kwa ndugu zetu wa Arusha ni kwamba ukimess up na chalii mmoja wa Arachuga tena anayekubalika, tambua kuwa umemess up na mji mzima.
We saw it coming by the way! Kwamba baada ya Madee kudaiwa kumzingua Dogo Janja kiasi cha kumfanya arudi nyumbani kwao wiki iliyopita.
Kwa mujibu wa story kutoka A-TOWN ni kwamba kama Madee asipoonyosha maelezo yake kuhusu haki ya Dogo Janja ama kuomba radhi kwa walichomfanyia (Tip Top Connection), Arusha itakua chungu kwao. Kuna wale wanaosema kuwa wakimwona Arusha basi atarudi Dar jina tu.
Wapenzi wa hip hop jijini Arusha wana hasira na Madee kwakuwa wanaamini kuwa amemdhulumu Dogo Janja haki yake na kama asipoenda hewani kukiri kosa lake mambo yanaweza kuwa magumu zaidi kwake.
Juzi Dogo Janja alifanya show yake ya kwanza bila kuwa chini ya uongozi wa Tip Top Connection baada ya kupewa shavu na Airtel iliyokuwa inazindua kampeni yake ya Super5.
Mashabiki wa muziki jijini humo walifurahia show yake, hali inayoashiria kuwa wako nyuma yake no matter what!

OSTADH JUMA NA MUSOMA AMRUDISHA DOGO JANJA DAR KWA NDEGE



Dogo janja ambae wiki kadhaa zilizopita alirudishwa Arusha kwa basi na aliekuwa mlezi wake katika familia ya TipTop connection Madee, amefufua matumaini yake baada ya kupewa mkataba na Ostadh Juma Na Musoma.
Mkataba huo utahusu kusimamiwa katika elimu yake na kuendelezwa kimuziki.

Sunday, June 24, 2012

DAWA ZA KUMBADILI BINADAMU KUWA ZOMBIE ZAGUNDULIKA

Dawa aina ya mind-bending narcotics zimegundulika kuwa zinamfanya mtumiaji kula binadamu mwenzake, dawa hizo ambazo gamba lanje zimeandikwa BATH SALTS zimeshasambaa katika nchi ya Marekani na Inasemekana Zinasafirishwa kutoka Wingereza.
                                

                                      FUATILIA MATUKIO YAFUATAYO

RONALD POPPO: mwenye miaka 65 uso wake ulitafunywa vibaya na RUDY EUGENE (31). Eugene alipigwa risasi na polisi hadi kufa  huko Miami baada ya kushindwa kujizuia na kuanza kuwaungurumia polisi mithili ya mnyama poli.





huyu ni RUDY EUGENE alitafuna uso wa RONALD POPPO kama unavyomuona hapo juu akiwa ameshikilwa na madaktari.




Alex Herriet (19) alifariki baada ya kutumia dawa hizo kwa kiasi kikubwa.



Pamela McCarthy umri miaka 35 alimtafuna mwanae wa kiume mwenye miaka mitatu, mwanamama huyu alishambuliwa na polisi na kufia hospitali baada ya kufeli uti wa mgongo.

Watumiaji wa madawa hayo walisema kuwa dawa hizo zinawafanya kujihisi joto sana na huwa wanapata nguvu za ajabu inyogharimu watu 6 hadi 7 kumzuia.
kumetanda hali ya hofu na tahadhari kwa sasa kuwa huwenda wakatokea Mazombi wa ukweli kama wale wa kwenye filamu mfano filamu ya DAWN OF THE DEAD.



 

VAZI LA HIJAB LAMZUIA MAMA HUYU KUSHIRIKI KIKAO CHA WAZAZI



Mwana mama Maroon Rafique miaka 40, anaeishi Wingereza alizuiliwa kuingia katika kikao cha wazazi katika  chuo cha Manchester alipoenda kwa ajiri ya mwanae.
Dada mmoja aliyekuwa mapokezi alimwamwambia Maroon kuwa hawezi kumruhusu mama huyo aingie katika kikao hicho akiwa kavaa hijab na huo ndio utaratibu.
Baada ya hapo alimbiwa ampigie mumewe simu aje kuhudhuria kikao hicho kuangalia maendeleo ya mtoto wao Awadh (18).
Maroon alisema "mwanagu yupo chuoni hapa huu mwaka wa pili na mimi nimeshawahi kuja chuoni hapa mara mbili bila matatizo yoyote, ila nashangaa leo yule dada mapokezi kaniambia siwezi kuingia bila kuvua hijab"
aliongeza na kusema " nilimwambia kuwa naweza nikakaa mbele au nyuma au popote ambapo sitamkera mtu, mi nimezaliwa nchi hii na ni Muingereza halisi kwanini ninachokivaa kimkere mtu"
Pia msemaji wa chuo hicho cha Manchester college alisema kuwa malalamiko ya mama huyo yanafanyiwa uchunguzi.


Thursday, June 21, 2012

KUMBE MAMA WA KIM KARDASHIAN NDIE ALITOA WAZO LA MWANAE KUREKODI ULE MKANDA WA NGONO

Mama wa Kim Kardashia (Kris Jenner) ndie aliotoa wazo la mwanae kurekodi mkanda wa ngono ambao unamuhusu Kim mwenyewe na Mwanamuziki Ray j. Ndoa ya Kim Kardashian na mcheza basketball Kris Humphries ilidumu kwa siku 72 tu kutokana na skendo hiyo.

LILE SHOGA LINALOSOMA CHUO KIKUU HILI HAPA.

Huyu mwanafunzi wa chuo kikuu cha ST.J...... chenye tawi lake lililopo Songea mkoa wa Ruvuma, anadaiwa kuwa ni shoga na hivi sasa ameondoka chuoni hapo kwa kukwepa aibu. Katika tukio lililo tokea wiki mbili zilizopita chanzo chetu cha habari kinasema kuwa mwanafunzi huyu anaesoma mwaka wa kwanza alifumwa akimnyonya mwanaume mwenzie uume ndipo wanafunzi wenzake waliokuwa wakipita nje ya dirisha waliona kitendo hicho kupitia dirishani na kuanza kuitana ili watu wengine wathibitishe kama wanachokiona ni cha ukweli. Mwanafunzi aliekuwa akinyonywa uume alikuwa amelala fofofo kwa sababu ya kunywa pombe nyingi ila alishtuliwa na kelele na mzozo wa watu waliokuwa wakishuhudia tukio hilo. Mpaka sasa uongozi wa chuo hicho haujafanya uamuzi wowote kwasababu ya kutopata taarifa zozote kuhusu tukio hilo. MAJINA YA MWANAFUNZI HUYO NA CHUO ANACHOSOMA YAMEFICHWA KWA SABABU MAALUM.

KIONGOZI WA WABAKAKAJI WA MABINTI WADOGO AKAMATWA

Mbakaji huyo Shabir Ahmed (59) alikamatwa akiwa na kesi 30 za kubaka mabinti wadogo wenye umri chini ya miaka 16, Ahmed alikuwa akiongoza kundi la watu 9 la ubakaji na katika tukio mojawapo ambalo mahakama ya moja iliyopo jiji la Manchester ilimtuhumu ni la kumdhalilisha kingono msichana mmoja mwenye asili ya Asia aliye kuwa akiishi nae kwa muda mrefu. Mwezi uliopita alihukumiwa miaka 19 kufuatia kesi iliyodumu kwa wiki 11 katika mahakama ya Livurpool huko Wingereza.

Monday, June 18, 2012

WOLPER ANYANG'ANYWA GARI LAKE LA KIFAHARI.

Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa mbalimbali ya jiji la Bongo. Habari zenye ukweli 100% ambazo Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop’ kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo. Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni. Aidha chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa… Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa ‘mkoko’ (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo. Habari zenye ukweli 100% ambazo Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop’ kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo. Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni. Aidha chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa anaitumia hapo awali sambamba na kutoka kwa kuvizia kukwepa watu wake wa karibu washitukie mchongo. Katika kuhakikisha kuwa ukweli unajulikana Teentz.com iliamua kumsaka na baada ya kupatikana Wolper aligeuka mbongo na kudai kuwa hakuna jambo kama hilo isipokuwa kilichotokea ni kuwa gari limepata matatizo na ameamua kulipeleka ‘garage’. Alipotakiwa kueleza kuwa imekuwaje gari mpya kama ile aipeleke garage tena kwa siku tatu Wolper alisme hivi: “Bwana eeh wee jua liko ‘garage’ hayo maswali mengine mimi sitaki kuayasikia na kama una taka ugomvi endelea kuniuliza” alisema na kuondoka haraka eneo alilokuwa amekaa.

BINTI ACHINJWA NA BABA YAKE KISA KATOROKA NYUMBANI NA KWENDA KUISHI NA BOYFRIEND

Huko New Delhi india binti mwenye miaka 20 (Manju Kunwar) amechinja kwa kutenganishwa kicha na kiwiliwili kisa alitoroka na kwenda kuishi na mpenzi wake. Baba yake huyo inasemekana alimvumilia binti yake kwa muda mrefu na alipotoroka aliambiwa arudi nyumbani haraka sana kwakua anachokifanya ni kinyume na utamaduni wa kwao. Baada ya kupitisha siku moja ya maagizo ya kurudi nyumbani ndipo baba huyo alipokasirika na kumchinja binti yake kikatili. Mama wa binti huyo alikuwa shamba wakati wa tukio na alishindwa kuelezea chochote sababau ya huzuni aliyokuwa nayo, pia baada ya kufanya tukio hilo baba wa Manju Kunwar alijisarimisha kituo cha polisi.

BEYONCE AMNUNULIA BABA WA TOTO WAKE JET SIKU YA AKINA BABA DUNIANI

Friday, June 15, 2012

MADONNA AONYESHA KUFULI LAKE HADHARANI

Madonna

Mwanamama Lady Madonna aendeleza vituko vyake baada ya siku chache zilizopita kuonyesha chuchu zake hadharani leo tena katika Muendelezo wa ziara yake ya kufanya show ameonesha  kufuli lake huko Italy alipokuwa akifanya show.
Madonna

(the sun)

SIMU INAYOFUKUZA MBU YAINGIA TANZANIA


TEKNOLOJIA ya kutumia simu kufukuza mbu nyakati za usiku imeingia nchini.Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Gerald Simbo aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana  kwamba simu yake ina uwezo wa kufukuza mbu usiku inapowekwa kwa kutumia mfumo wa 'Mosquito repellant'.

Simbo alisema simu yake inayojulikana  kwa jina la "Samsung Galaxy Pocket ina uwezo wa kufukuza mbu kama itawekwa kitandani wakati wa kulala.

Alisema simu hiyo aliinunua kwenye kampuni SamSung Tanzania. Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar alipoulizwa jana kuhusiana na kauli hiyo alikiri kuwa na aina hizo za simu na kwamba sasa zinasambazwa nchini na kuuzwa kwa gharama ya Sh200,000.

"Kwa ujumla simu hii ni ya kisasa  inayokidhi mahitaji ya mawasiliano kwa Watanzania na zaidi inakuja na ofa nyingine ikiwemo kadi ya simu na Airtel bundle, pia ina mfumo ambao endapo  itaibiwa mmiliki na uwezo wa kuifunga ,"alisema Kumar.

Naye mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,  Enock Kweka alisema anaitumia simu ya aina hiyo kufukuza mbu nyumbani kwake na  kuhifadhi nyaraka muhimu anazotumia katika masomo yake.Ilielezwa kwamba  ina mtandano wa kompyuta wa 250 MB kwa muda wa mwaka mmoja.
(kutoka:Mwananchi)

Thursday, June 14, 2012

DRAKE AKANA KUMDUNDA CHRISS BROWN




Kambi ya mwanamuziki kijana na mtanashati,mwenye uwezo wa kurap na kuimba kutoka familia ya YMCMB si mwingine namzungumzia DRAKE imekanusha vikali kwa msanii wao kuhusika katika timbwili lilitokea jana usiku kwenye ukumbi mmoja wa disco huko unyamwezini,huku kasheshe hilo likimtaja msanii mwingine kijana na maarufu pia CHRISS BROWN.
Picha zilisambaa mitandaoni leo zinazoonyesha kutolewa "ngeu"  kwa mwimbaji huyo wa miondoko ya r&b ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanadada RIHANNA ambaye pia ni DIVA katika ulimwengu wa muziki na burudani kwa ujumla,huku DRAKE akihusishwa kusababisha madhara hayo kwa kumrushia chupa na chanzo kikielezwa ni kumgombania mwanadada RIHANNA ambaye inaonekana kuteka mioyo ya  vijana wawili hawa kimapenzi.
Drake alikubali kuwepo ndani ya club ya W.I.P ya New York usiku wa kuamkia leo ila alikanusha kuhusika kwa namna yeyote katika sakata hilo,huku akidai wakati mtanange huo ukianza ye alishajikata zake maskani.

Inasemekana Drake alikuwa na mshikaji wake ambae ni mwanamuziki pia Meek Mill katika ukumbi huo,huku CHRISS BROWN nae alikuwepo ndani ya clu hiyo ya W.i.P ya  New York akila BATA zake!wote hawa walikua sehemu maalum (VIP) kwa ajili ya watu wazito ma maarufu kwenye ukumbi huo.


Ikumbukwe kuwa siku za karibuni kulizuka kupigana vijembe kwa watatu hao kwa kutumia mtandao wa jamii wa Twitter,huku ikisemekana wote watatu (Chriss,Meek na Drake) kwa nyakati tofauti walishawahi kumega RIHANA ,ilhali uhusiano wa Chriss Brown na mlimbwende huyo kuvuma zaidi na mpaka kupelekea wawili hao kufikishana kwenye ymbo vya dola baada ya kuhitilafiana,huku Chriss Brown akikutwa na hatia ya kumpiga mpenzi wake huyo wa zamani!

Shuhuda wa sakata hilo ndani ya ukumbi wa W.i.P, ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema "Meek alianza kumrushia maneno makali Chriss Brown na kusababisha zogo hilo na shika nikushike ambayo ilisababisha mwimbaji huyo wa r&b kutolewa ngeu kidevuni na kitu kinachosadikiwa kuwa ni chupa!

 Chriss Brown akionyesha jeraha alilopata jana usiku baada ya kasheshe hilo,hii picha aliituma kwenye ukurasa wake wa twitter!
pia inasemekana
Polisi bado wanafanya uchunguzi zaidi wa swala hilo!kwani walilazimika kuitwa baada ya walinzi wa ukumbi huo kushindwa kudhibiti fujo hizo ambapo ziliwajumuisha pia wapambe wa karibu wa masuper star hao.
Chupa zilirushwa,viti vilivunjwa,vioo hali kadhalika kiasi cha kuifanya sehemu ya VIP ya ukumbi huo kuwa kama dampo la vingunguti hivyo kuisababishia hasara kubwa club hiyo ya New York.

    Hii ndio sehemu  VIP ya club hiyo ya W.i.P ya New York inavyoonekana baada ya timbwili hilo.

ALICHOKISEMA DOGO JANJA KUHUSU KUTIMULIWA TIP-TOP.


Siku moja baada ya Dogo Janja kudaiwa kufukuzwa Tip Top Connection, ukweli halisi kuhusiana na uamuzi huo umewekwa wazi na yeye mwenyewe.
Sababu zilizotajwa na Tip Top Connection ni kwamba Dogo Janja alilewa sifa na kuwa mtoro shuleni.
Kwa mujibu wa interview (ya pili kufanyiwa baada ya kipindi cha Amplifaya cha jana) tuliyofanya naye kwa simu saa moja asubuhi leo (June 14) akiwa stand kurejea nyumbani, uonevu na dhuluma ndivyo vilivyomchosha kuishi Dar es Salaam.
Anasema tangu aje Dar es Salaam hajawahi kusaidiwa chochote na Madee zaidi ya mambo ya muziki pekee huku kula, malazi na ada ya shule vikifanywa na rafiki yake Madee aitwaye Abdallah Doka ambaye (Dogo Janja) alikuwa akiishi kwake.
Anasema kutokana na ngoma zake kujipatia umaarufu alikuwa akipata show nyingi nchini na zote alikuwa halipwi chini ya milioni moja.
Kilichokuwa kinamsikitisha anasema ni kulipwa hela kidogo isiyozidi laki mbili na hivyo kumfanya aishi kwa tabu licha ya kuingiza hela nyingi za show.
“Nilikuwa navumilia tu bro kwasababu kila nilipolalamika kuhusu mambo ya hela Madee alikuwa mkali sana,” anasema.
Dogo anasema ilikuwa inafikia wakati akifanya show za ukumbuni hulipwa elfu hamsini au chini ya hapo na wakati mwingine alikuwa halipwi kabisa.
Tamaa ilizidi kumwingia Madee kiasi cha kumnyang’anya kadi yake ya benki na kuanza kuchukua hela bila kujua password aliipata wapi.

“Kuna wakati nilikuwa nataka kumtumia mama laki moja, Madee akanikataza eti kwakuwa watadhani nina hela sana,” anasema.
Mpaka tunaongea naye asubuhi hii, anasema kadi yake imebakiwa na shilingi 25,000 tu.
Ameendelea kudai kuwa juzi Madee alimpigia simu na kumwambia kuwa kaka yake wa Kibaha ameandaa show ya CCM na atamlipa shilingi laki moja.
“Hivi kweli bro mimi ni mtu wa kufanya show ya laki moja?”. Hata hivyo aliamua kukubali ili kuepusha lawama.
Baada ya show kumalizika anasema yeye na back up artist wake walirudishwa saa saba usiku wakati asubuhi yake alitakiwa kwenda shuleni kuchukua namba ya mtihani na kuandaa dawati la kukalia.
Dogo Janja anaeleza kuwa inamuuma sana kwakuwa muziki haujampa chochote licha ya Madee ambaye huwa hapati hata show kumtumia kimaslahi na hadi leo hii anamalizia kujenga nyumba yake.
“Ni kama vile Madee alinipanda ili anivune.”
Ameendelea kusema kuwa hiyo juzi sasa hadi kufikia Tip Top watangaze kumfukuza alikuwa kwa Tundaman akipiga story na Madee akamuita kisha kuanza kumpiga.
Alichukua simu yake akaondoka nayo. “Jamaa alianza kujitumia meseji kutoka kwenye simu yangu kwenda kwake za matusi ama kuwa nataka kumroga. Jana nimemuonesha Milard hizo meseji na amesikitika sana.”
Anasema simu yake alipewa jana.
Kitendo cha kumwambia Madee kuwa amechoka na anataka kurudi nyumbani ndicho kimemfanya amfanyie yote hayo hadi kumwambia kuwa watahakikisha wanambania asifanye vizuri tena kwenye muziki. Pia amedai kuwa Madee aliwapigia simu wazazi wake ili wamkataze Dogo Janja asifanye interview na vyombo vya habari.
“Wanajua nikiongea wataabika sana.”
 (bongo5).

CHRIS BROWN APIGWA CHUPA CLUB KATIKA UGOMVI WAKE NA DRAKE

Chris Brown
Inasemekana wawili hao walikuwa hawaelewani kwa muda mrefu, ila walivyokutana katika New york nightclub  Chris alituma chupa kadhaa katika meza ya Drake kwa ajiri ya kutangaza amani kati yao lakini badala yake chupa hizo zilirudishwa zikiwa na ujumbe ufuatao ukimuhusisha Rihanna "I'm f****** the love of your life, deal with it."  Baada ya hapo Chris alimfuata Drake na kuanza kumshutumu lakini Drake alimrushia ngumi Chris, katika mzozo huohuo jamaa mmoja aliekuwa pamoja na Drake alimpiga chupa Chris kiasi cha kumtoa damu kama ianvyoonekana katika picha hapo juu.

MTI WA MAAJABU IRINGA




Mti huu wa maajabu uliopa Kalenga karibu na makumbusho ya Mkwawa, una miaka zaidi ya 400, pia Mkwawa aliutumia mti huu kwa ajiri ya matambiko.
Maajabu yake ni kwamba ukifika msimu wa maembe mti huu huzaa maembe na ukifika msimu wa machungwa mti huu hutoa machungwa.
(mjengwa blog).

Wednesday, June 13, 2012

AMTWANGA NGUMI MHASIBU KISA KALIWA HELA KATIKA KAMALI

Lashing out ... punter hits female cashier

Huko Wingereza mtaa wa South Gate jamaa mmoja anatafutwa na polisi baada ya kumpiga ngumi mbili mhasibu katika kampuni moja inayojihusisha na na maswala ya betting.
Mhasibu huyo alipata kipigo hicho baada ya jamaa kudai hela zake alizopoteza katika betting na mhasibu huyo alipogoma kutoa jamaa alijifanya anaondoka kisha aligeuka na ngumi zilizotua moja kwa moja katika uso wa mhasibu huyo.

AMCHINJA MPENZI WAKE KWA PANGA

Chilling message

Huko Bahamas mtu mmoja ajulikanae kwa jina la Prince Hepburn amemchinja mpenzi wake Nelie Brown-Cox kwa panga a.k.a Machete, polisi walisema kuwa jamaa huyo alijaribu kujiuwa kwa kujichoma na kisu kiunoni na kumeza vidonge..upande wa kwanza wa panga hilo uliandikwa "you are the next George Sawyer" yakimaanisha "unafuata wewe George Sawyer". Na upande mwingine ulikuwa umendikwa "this what cheaters get" yakimaanisha "haya ndo malipo ya msaliti". Pia polisi hao walisema kuwa jamaa huyo ambae ni mkandarasi wa kujitegemea alikiri kufanya kosa hilo la mauaji ya kinyama.
 Nellie Brown-Cox huyu ndie mwanamke aliechinjwa(42)



Prince Hepburn  huyu ndie alimchinja mpenzi wake (50).
 

Tuesday, June 12, 2012

FILAMU ZA NGONO ZASABABISHA WATOTO KUBAKWA WINGEREZA

Picture posed by model 


wavulana wengi wenye umri kati ya miaka 14 na 15 nchini Wingereza wamekuwa wakiunda makundi ya ubakaji na kuwabaka wasichana wenye umri kati ya miaka 11 na 13.
Wavulana hao huwa wanaanza kuwashawishi wasichana katika mitaandao mbalimbali ya kijamaii kwa kuchat baada ya hapo huomba wakutane na ndo hapo huanza kampeni zao za ubakaji kwa kuiga style na mambo yote yanayofanyika katika filamu za ngono.
Kamanda wa ngazi za juu wa polisi nchini humo alielezea ni jinsi gani watoto hao wanavyowabaka watoto wenzao wa kike, "kuna binti mmoja alibakwa zaidi ya masaa mawili na kundi la vijana hao","hutumia blackberry messenger kuitana pale wanapopata msichana wa kumbaka" alisema kamanda huyo.(the sun).

RIHANNA ASIFIA MAKALIO YAKE

Rihanna 


Mwanamziki huyo maarufu Duniani aliyezaliwa 20 feb 1988, alijisifu kwa kuliambia gazeti la News of the World's Fabulous magazine maneno yafuatayo: "I keep working at it as I want it to be perfect "It makes my clothes look good – and guys like it!" (people.com).

Monday, June 11, 2012

HUMU NDIPO ANAPOISHI WEMA SEPETU HIVI SASA,NYUMBA YENYE THAMANI YA MILIONI 400






MAMBO USIYOYAJUA HAYA HAPA

1).Idadi ya kuku duniani inalingana na idadi ya binadamu.

2).samaki aina ya shark ana uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 100

3).Mbu anavutiwa zaidi na rangi ya blu kuliko rangi nyingine yoyote.

4).Mnyama aina ya kangaroo hana uwezo wa kutembea kinyume nyume.

5).Zaidi ya heka 75 za pizza zinaliwa Marekani kila siku.

6).Raisi mstaafu wa Marekani Bill Clinton amewahi kutuma e-mail mbili tu
katika kipindi chake cha miaka 8 ya Uraisi.

ITALY KUZINDUA TRENI YENYE KASI YA AJABU



TRENI HII ITAUNGANISHA MIJI YA MILAN, ROME NA NAPLES.

BULB MPYA ZA PHILIPS




BULB MPYA ZA PHILIPS, ZINATOA RANGI 940, ZINATUMIA WATT 9.7.
BEI YAKE NI DOLLAR 50.

LIL WAYNE AMZUIA NICKI MINAJ KUPIGA SHOO



KIONGOZI WA YOUNG MONEY  LIL WAYNE AMEMZUIA NICKI MINAJ KUPIGA SHOO YA SUMMER JAM ILIYOANDALIWA NA KITUO CHA RADIO CHA "HOT 97".
UAMUZI HUO UMETOKEA BAADA MTANGAZAJI WA KITUO HICHO "PETER ROSENBERG" KUMUONGELEA VIBAYA NICKI MINAJ.
PIA LIL WAYNE AMBAE ALISHAFANYA SHOO HIYO ALIWAJULISHA MEMBER WOTE WA YOUNG MONEY KUWA WASIENDE KUSHILIKI KATIKA SUMMER JAM KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA TWEETER.

kutoka:www.theybf.com

BIRTHDAY YA MTOTO WA OBAMA.



SASHA OBAMA  MTOTO WA RAISI WA MAREKANI BARACK  OBAMA ASHEREHEKEA MIAKA 11 YA KUZALIWA.

LIL KIM NA MASHOGA









RAPA LIL KIM AKIWA ON STAGE AKIFANYA SHOO YA MASHOGA (GAY PRIDE FESTIVAL).
SHOO HIYO ILIFANYIKA LOS ANGELS.

Monday, June 4, 2012

USIYOYAJUA KUHUSU TANZANIA

  • Mt. Kilimanjaro, which is the tallest African peak, is located in Tanzania.
  • The newly declared capital of Tanzania is Dodoma.
  • Sadly, one out of every ten people in Tanzania is affected with HIV/AIDS.
  • The official language of Tanzania is Swahili. Swahili is a Bantu language that is primarily prevalent in the East African Coastal region.
  • Tanzania is the largest country on the East African Coast.
  • Tanzania is one of the poorest countries in the world.
  • Tanzania is home to exotic wildlife like black rhinos, the Kori bustard, baboons, wart hogs, elephants, zebras and more.
  • About 33% of the Tanzanian population is illiterate.
  • Tanzania is surrounded by three of the world’s most magnificent lakes - Lake Tanganyika, Lake Nyasa and Lake Victoria.
  • April 26 is celebrated as Union Day in Tanzania to commemorate the independence of Tanganyika and Zanzibar.
  • The name Tanzania is a portmanteau of Tanganyika and Zanzibar which were one nation before they separated into Tanzania and the semi-autonomous part of Zanzibar in 1964. Tanganyika means “sail in wilderness” and Zanzibar connotes “fair is this island”.
  • The earliest remains of humans including the legendary 2 million years old Homo habilis was recovered in Olduvai Gorge in Tanzania.
  • The extinct Ngorongoro Crater, in Tanzania, is the largest complete crater in the world.
  • Tanzania has more than a 100 different tribal groups.
  • Lake Manyara National Park, in Tanzania, is home to the world’s only tree-climbing lions.
  • Lake Tanganyika in western Tanzania is the world's second deepest lake.
  • Tanzania is famous for its African blackwood or mbingo carvings.
  • The Amani Nature Reserve in eastern Tanzania is the only place on the entire planet where African Violets really grow in the wild.
  • The Coconut Crab found on Chumbe Island of Zanzibar (the semi-autonomous region of Tanzania) is the largest crab in the world.
  • The short rainy season of Tanzania is called Vuli while the long rainy season is called Masika.
  • Tanzanian economy is largely an agricultural one with its primary cash crops being coffee, cotton, sisal and tea.
  • Dar es Salaam, the current economic and political hub of the country, was also the old capital of Tanzania.
  • Tingatinga and Makonde are two popular forms of African paintings popular in Tanzania.
source of info: iloveindia.com

Nafasi za Kazi DFID na Ubalozi wa Uingereza: Mshahara kuanzia Milioni

Japo mshahara wa kuanzia umeandikwa ni TZS. 4. Million ila kiukweli depending on your qualifications na expiriance utavuta hadi milioni 8 na marupurupu kibao!, Gari 4x4,Nyumba, Simu BB with unlimited post paid airtime!, Mac laptop with moderm ya internet mtandao wao ni 24/7-365 days unlimited download!, matibabu (wewe, mkeo na watoto mwisho 4) first class with flying doctors any serious sickness wana ku rush Nairobi, then South Africa kama ni serious sana then moja kwa moja UK, trips za ulaya ni kila kukicha na unasafiria Bussiness class!,
Watoto wanalipiwa international school za IST, etc etc.

Mimi nimewahi kuwafanyia kazi hawa watu katika ngazi ya Advisor, they are among top best employers in Tanzania, second to UN ila AFDB wako juu kabisa hata UN ni cha mtoto.

Pasco.
Update 1. The Job!.
[QUOTE=Kachanchabuseta;3979531]Head of Corporate Services Vacancy

The British Foreign and Commonwealth Office (FCO) and Department for International Development (DFID) are pleased to advertise a challenging local position in Dar es Salaam, Tanzania:
HEAD OF CORPORATE SERVICES
Gross salary up to 51.1M Tanzanian Shillings per annum
This post is a challenging opportunity to lead Corporate Services for the British government presence in Tanzania. The post brings together corporate services in support of the UK’s diplomatic relations (led by the Foreign and Commonwealth Office, FCO) and aid programme (led by the Department for International Development, DFID) overseas. We need an excellent communicator with at least 5 years’ management experience and a track record of at least 2 years of strong team leadership, preferably in an international organisation.
UK Department for International Development (DFID)
DFID leads the UK Government’s fight against global poverty. DFID works in partnership with national governments, other development partners, civil society and the private sector to achieve the U

chanzo cha habari: jamii forum.