Tuesday, September 11, 2012

HII NDO SIRI INAYOWAFANYA MASTAA WA NJE WAONEKANE BADO VIJANA WAKATI WAMESHA ZEEKA

                              


                                  
    Mwana mama Mary mwenye watoto watatu kama unavyomuona hapo juu amepunguza miaka 20 katika muonekano wa mwili  wake kwa kutumia vipodozi aina ya Tru Visage & Pur Essance .
Mary aligundua siri ya vipodozi hivyo baada ya kuangalia makala katika luninga inayohusu maswala ya afya na vipodozi.
Vipodozi hivyo vinasababisha seli za mwili kuondoa ngozi iliyokauka na ambayo haifanyi kazi katika mwili.



                                                                      

                     siku ya kwanza baada ya kutumia vipodozi
                                      

                           siku ya tano baada ya kutumia vipodozi
                                       
                           siku ya 14 baada ya kutumia vipodozi
                                         

Inadaiwa kuwa watu wengi mashuhuri hasa wanawake hutumia vipodozi vya aina hiyo ili waonekane bado vijana  wakati umri wao umesha kwenda.


 
 
 

No comments:

Post a Comment