
Msanii wa
muziki wa kizazi kipya,Dayna akijitokeza kwa mbwembwe jukwaani usiku
huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012.



Msanii wa muziki wa kizazi kipya,mahiri katika miondoko ya miduara,IT akimrusha kimduara duara shabiki wake jukwaani.

wasanii mahiri
wa filamu hapa nchini nao walikuwepo kuliunga mkono tamasha la Fiesta ndani ya Dodoma,kutoka kulia ni Jacob Steven a.k.a JB,Wema
Sepetu pamoja Aunt Ezekiel.

RAy akiyarudi mangoma ya sebene

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,Linah kutoka THT akitumbuiza jukwaani u wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendele usiku.




No comments:
Post a Comment