Friday, September 28, 2012

TAHADHARI! TAHADHARI! WANAUME WANAOISHI SINZA, SOMENI HII KIUSALAMA ZAIDI.

Kumekuwa na tabia ya Machangudoa wanaofanyia biashara zao maeneo ya Sinza Africa-sana Na Sinza kwa Remmy kuwapigia kelele za wizi wanaume ambao wakiitwa na machangudoa hao wanagoma na wale ambao husaminisha na kisha kuondoka bila kununua.




No comments:

Post a Comment