Monday, September 24, 2012

KANYE WEST: NINA SEX TAPE MBILI SIO MOJA.

0831-kanye-west-tmz  

Kutoka katika mtandao wa TMZ, inasemekana Kanye west amethibitisha kuwa hana sex tape moja bali anazo mbili.
Watu wa karibu wa mwana hiphop huyo wamesema kuwa ni kweli kanye west anazo tape hizo na hawajui zimetokaje tokaje katika computer ya kanye west.
Pia Kanye amesema kuwa anamsaka kwa udi na uvumba mtu aliezivujisha tape hizo kutoka katika computer yake.

No comments:

Post a Comment