Celebrity Breaking News

LADY MADONA CHUCHU NJE

Madonna

Madonna pulls an odd face 

Madonna 

MWANAMAMA HUYO MWENYE MIAKA 53 ALIFANYA KWA MAKUSUDI  TUKIO HILO HUKO UTURUKI-INSTANBUL (THE SUN).


 

RIHANNA & CHRIS BROWN  WANAMPANGO GANI?

Chris Brown and Rihanna

Rihanna

WAWILI HO WALIOTENGANA 2009 BAADA CHRIS KUMPA KIPIGO KIZITO KILICHO SABABISHA WAPENZI HAO KUWA MBALI MBALI, HIVI SASA WANAJITAHIDI KILA MMOJA KUWA KARIBU NA MWENZIE BAADA YA KUONEKANA CLUB MARA KWA MARA JAPOKUWA KILA MMOJA ANAKUWA NA KAMPANY YAKE.
WAWILI HAO WALIONEKANA TENA HUKO LOS ANGELES KATIKA CLUB MOJAWAPO WAKIWA WAMEKAA MEZA MBALI MBALI INGAWA WALIKUWA WAKIANGALIANA SANA MARA KWA MAA HUKU RIHANNA AKIENDA MALIWATONI KILA WAKATI NA KUJIPITISHA PITISHA KATIKA MEAZA ALIYOKUWA AMEKAA CHRIS BROWN NA RAFIKI ZAKE.  (THE SUN)

 DOGO JANJA OUT TIPTOP



Nyota wa muziki wa kizazi kipya  kutoka  ‘kruuya  Tip Top Connection  yenye maskani yake pande za  Manzese  jijini  Dar  es  Salaam  Abdul Abubakar Chende  ‘Dogo  Janja’  ametupiwa  virago   ndani ya kundi hilo.
Akizumngumza na  Teentz .com mapema leo kiongozi wa kundi hilo Hamad Ally  ‘Madii’  amesema kuwa  Dogo Janja  ameshindwa  kuendana na  makubaliano halisi yaliyokuwepo baina yake na uongozi wa kundi hilo ikiwemo  kuhudhuria  shuleni kama alivyokuwa akitakiwa  kufanya kila siku  badala yake  amekuwa akiendekeza  starehe na  wakati mwingine kufanya mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine yalikuwa yanalichafua kundi hilo.
“Tumemkabidhi kwa kaka yake mapema leo tukiwa  maeneo ya Ubungo tayari kwa safari ya  kurudi kwao  na wakati huo tulifanya mawasiliano na baba yake  kumuarifu kuwa Tip Top   hatuko na mwanae kwa sasa”  alisema Madii
Katika hatua nyingine Madii  amesema kuwa Dogo Janja alilewa sifa na  kujisahau kufanya yale anayotakiwa kufanya ndani nanje ya kundi  kufuatia mafanikio ya muziki aliyoyapata akiwa  na Tip Top Connection kwani hivi karibuni alitega shule na kwenda kujificha  nyumbani kwa TundaMan  hukua akimuaga Madii kuwa anakwenda shule.
Kuona hivyo TundaMan aliamaua kumuarifu Madii na mara moja  kiongozi huyo wa kundi aliamua kwenda  kumsaka,  lakini baada ya dogo Janja kugundua kuwa Madii anakuja aliamua kukimbia na kwenda kujificha  uchochoroni lakini akiwa huko mafichoni bahati mabaya  alikanyaga  kuku  na  siri yake kujulikana kuwa amejificha hapao ndipo alipokamatwa na kuamriwa kufungasha kilicho chake  tayari kurejea ‘kileji’.
"vimekuwa ni vitendo vya kila mara kukacha kuhudhuria shule, tumechoka na hatukuwa na njia nyingine ya kufanya alisema Madii'

(teentz.com)

SABABU ZA 50-CENT KUMPA MBWA WAKE JINA LA "OPRAH"


Why 50 Cent Named His Dog Oprah | 50 Cent, Oprah Winfrey

50 cent alimwambia mwanamama Oprah kuwa sababu za yeye kumwita mbwa wake jina la "oprah" ni sababu anapenda sana viumbe kama mbwa ingawa mara ya kwanza alijua tu kuwa haitaleta picha nzuri.



MADONNA KATIKA MUONEKANO HALISI WA KIZEE


Huu ndo muonekano halisi wa kibibi/kizee wa lady madonna ambae kwa sasa yupo katika ziara yake ya .kupiga show katika nchi ya Italy-Rome.




MADONNA


MADONNA IN BACKSTAGE REHEARSING FOR FOR GIG IN ROME!


MADONNA IN BACKSTAGE REHEARSING FOR FOR GIG IN ROME!


DULLY AOMBA RADHI KWA KUMTUKANA GOSSIP COP(SUDY BROWN) 


Juzi kwenye show ya XXL Clouds fm msanii Dully Sykes alisababisha lawama nyingi zimpate kutoka kwa fans wake na watu wengine baada ya kutoa tusi kwa Gossip Cop Soudy Brown anaefanya  YOU HEARD.
Ni kuhusu new single ya Mwana Fa ft Ay na Dully Sykes – Ameen ambayo imetengenezwa na Dully ambapo baada ya kuachiwa Soudy Brown aligundua kwamba ni kama inafanana na single ya staa wa Jamaica.
Baada ya hapo Soudy ilibidi ampigie Mwana Fa ambae alimjibu vizuri tu kwamba kweli ile single imefanyiwa sample lakini akamuelekeza Soudy Brown aongee na Dully kwa sababu yeye ndio producer na ndio mtu sahihi wa kuliongelea hilo.
Soudy alipompigia Dully hakufanikiwa kupata lolote zuri bali aliambuliwa kujibiwa kwa mkato na mwisho Dully Sykes akamwambia siongei na mashoga na hiyo ilikua ni baada ya staa huyo mkazi wa Tabata Dar es salaam kumuuliza Soudy kama amekosa kazi ya kufanya.
Usiku wake baada ya watu kuzidi kutuma msg on air kwamba wamechukizwa na tusi alilotoa Dully, Dully alinipigia simu akaomba tukutane Kinondoni baada ya mimi kumaliza AMPLIFAYA saa 3 usiku, nimewahi kufanya interview na Dully Sykes mara nyingi tu ila kiukweli sijawahi kumuona Dully akiwa amenyongo’nyea na kuumia kiasi kile.
Nilipoanza kumrekodi alisema “kweli nimekosea ni kwa sababu hakunikuta kwenye mood, naomba msamaha wanisamehe mashabiki na kwenye Media pia, wanisamehe kwa kile ambacho nimeongea ilikua ni hasira tu wasikilizaji wote ambao wamesikiliza na mashabiki zangu wote wasinielewe vibaya, nilikua na hasira nilikua na mambo yangu mwenyewe kichwani” 
(na millad ayo)


No comments:

Post a Comment