Usiyo yajua

 USIYOYAJUA KUHUSU NCHI YA INDIA

  1. Katika historia ya miaka 100000 India haijawahi kuivamia nchi yoyote.
  2. India ndio inayoongoza kwa kuwa na ofisi nyingi zaidi ya nchi yoyote duniani.
  3. Masomo ya Aljebra,Trigonometry na Calculas yaligunduliwa India.
  4. Shirika la Reli ndio linaloongoza kwa kuajiri wafanyakazi wengi zaidi.
  5. Chuo kikuu cha kwanza duniani kilijengwa India katika mji wa Takshila, zaidi ya wanafunzi 10,500 kutoka sehemu mbalimbali duniani walifika kusoma masomo zaidi ya 60.
  6. mpaka 1986 India pekee ndiyo iliyokuwa ikizalisha almasi Duniani






    MAMBO USIYOYAJUA HAYA HAPA

    1).Idadi ya kuku duniani inalingana na idadi ya binadamu.

    2).samaki aina ya shark ana uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 100

    3).Mbu anavutiwa zaidi na rangi ya blu kuliko rangi nyingine yoyote.

    4).Mnyama aina ya kangaroo hana uwezo wa kutembea kinyume nyume.

    5).Zaidi ya heka 75 za pizza zinaliwa Marekani kila siku.

    6).Raisi mstaafu wa Marekani Bill Clinton amewahi kutuma e-mail mbili tu
    katika kipindi chake cha miaka 8 ya Uraisi. 









    UNKNOWN FACTS ABOUT TANZANIA

    • Mt. Kilimanjaro, which is the tallest African peak, is located in Tanzania.
    • The newly declared capital of Tanzania is Dodoma.
    • Sadly, one out of every ten people in Tanzania is affected with HIV/AIDS.
    • The official language of Tanzania is Swahili. Swahili is a Bantu language that is primarily prevalent in the East African Coastal region.
    • Tanzania is the largest country on the East African Coast.
    • Tanzania is one of the poorest countries in the world.
    • Tanzania is home to exotic wildlife like black rhinos, the Kori bustard, baboons, wart hogs, elephants, zebras and more.
    • About 33% of the Tanzanian population is illiterate.
    • Tanzania is surrounded by three of the world’s most magnificent lakes - Lake Tanganyika, Lake Nyasa and Lake Victoria.
    • April 26 is celebrated as Union Day in Tanzania to commemorate the independence of Tanganyika and Zanzibar.
    • The name Tanzania is a portmanteau of Tanganyika and Zanzibar which were one nation before they separated into Tanzania and the semi-autonomous part of Zanzibar in 1964. Tanganyika means “sail in wilderness” and Zanzibar connotes “fair is this island”.
    • The earliest remains of humans including the legendary 2 million years old Homo habilis was recovered in Olduvai Gorge in Tanzania.
    • The extinct Ngorongoro Crater, in Tanzania, is the largest complete crater in the world.
    • Tanzania has more than a 100 different tribal groups.
    • Lake Manyara National Park, in Tanzania, is home to the world’s only tree-climbing lions.
    • Lake Tanganyika in western Tanzania is the world's second deepest lake.
    • Tanzania is famous for its African blackwood or mbingo carvings.
    • The Amani Nature Reserve in eastern Tanzania is the only place on the entire planet where African Violets really grow in the wild.
    • The Coconut Crab found on Chumbe Island of Zanzibar (the semi-autonomous region of Tanzania) is the largest crab in the world.
    • The short rainy season of Tanzania is called Vuli while the long rainy season is called Masika.
    • Tanzanian economy is largely an agricultural one with its primary cash crops being coffee, cotton, sisal and tea.
    • Dar es Salaam, the current economic and political hub of the country, was also the old capital of Tanzania.
    • Tingatinga and Makonde are two popular forms of African paintings popular in Tanzania.

    USIYOYAJUA KUHUSU CHINA
    Katika maandalizi ya olympic mwaka 2008 watoto wengi waliozaliwa katika mwaka huo walipewa majina ya michezo ya olympic.
     Over 4000 babies in China were named   




    Watu zaidi ya milioni 200 wanaishi kwa kipato cha chini ya tsh 1500.
     200 million people in China live on less than $1 a day  



    Zaidi ya watu milioni 700 wanakunywa maji mahafu..90% ya maji ya ardhini(underground water) pamoja na 75% ya mito imechafuliwa, 
    hii inamaanisha watu zaidi milioni 700 wanakunywa maji machafu kila siku.
     Over 700 million Chinese people drink polluted water  



     

    No comments:

    Post a Comment