Tuesday, September 25, 2012

HAWA NDIO WANAMITINDO WA KIMATAIFA WATANZANIA WANAOFANYIA KAZI ZAO NJE YA AFRICA

Huyu ni Teddy Kalonga, ambaye anaishi Los Angeles  Marekani na anafanyia kazi za uwana mitindo huko Marekani.


 




Huyu ni Flaviana Matata aliyekuwa Miss Universe Tanzania, ambae pia ndoto zake zilikuwa awe inginia wa umeme, nae anaishi Marekani na anafanyia kazi zake za uwana mitindo Marekani Pamoja na Wingereza.






Huyu ni Millen/Happness Magesse aliewahi kuwa Miss tanzania, kwa sasa yupo nchini Marekani kaika jimbo la New York,  amefanya kazi za uwana mitindo katika nchi mbali mbali kama vile Hong Kong, Germany, Norway, China, New York, Paris, Spain, India. 
 







No comments:

Post a Comment