


Usiku wa jana watu wasiojulikana walifika nyumbani kwa dokta Ulimboka na kujitambulisha kama askari, watu hao waliondoka na Dokta ulimboka kuelekea barabara ya bagamoyo.
Hadi leo mapema alipookotwa akiwa yupo taabani na watu wa shirika la haki za binadamu waliokuwa wanamtafuta baada ya kupata taarifa zaa kutoweka kwake.
Watu hao wa Shirika la haki za binadamu walimuokota Dk.Steven Ulimboka katika eneo la Mwabepande,Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment