Thursday, June 21, 2012

KIONGOZI WA WABAKAKAJI WA MABINTI WADOGO AKAMATWA

Mbakaji huyo Shabir Ahmed (59) alikamatwa akiwa na kesi 30 za kubaka mabinti wadogo wenye umri chini ya miaka 16, Ahmed alikuwa akiongoza kundi la watu 9 la ubakaji na katika tukio mojawapo ambalo mahakama ya moja iliyopo jiji la Manchester ilimtuhumu ni la kumdhalilisha kingono msichana mmoja mwenye asili ya Asia aliye kuwa akiishi nae kwa muda mrefu. Mwezi uliopita alihukumiwa miaka 19 kufuatia kesi iliyodumu kwa wiki 11 katika mahakama ya Livurpool huko Wingereza.

No comments:

Post a Comment