Tuesday, June 26, 2012

50-CENT APATA AJARI MBAYA

50 Cent

Rapa 50-cent amepata ajari mbaya baada ya gari lake aina ya SUV kugongana na roli.
Mtandao wake wa THIS IS50 umelezea na kusema kuwa 50 aliwaishwa hospitali haraka huku akiwa amewekewa neck brace baada ya kuonekana kuumia kwa shingo yake,hakuna habari kamili mpaka sasa zinazoelezea maendeleo ya 50.

No comments:

Post a Comment