Thursday, June 14, 2012

CHRIS BROWN APIGWA CHUPA CLUB KATIKA UGOMVI WAKE NA DRAKE

Chris Brown
Inasemekana wawili hao walikuwa hawaelewani kwa muda mrefu, ila walivyokutana katika New york nightclub  Chris alituma chupa kadhaa katika meza ya Drake kwa ajiri ya kutangaza amani kati yao lakini badala yake chupa hizo zilirudishwa zikiwa na ujumbe ufuatao ukimuhusisha Rihanna "I'm f****** the love of your life, deal with it."  Baada ya hapo Chris alimfuata Drake na kuanza kumshutumu lakini Drake alimrushia ngumi Chris, katika mzozo huohuo jamaa mmoja aliekuwa pamoja na Drake alimpiga chupa Chris kiasi cha kumtoa damu kama ianvyoonekana katika picha hapo juu.

No comments:

Post a Comment