Monday, June 18, 2012

BINTI ACHINJWA NA BABA YAKE KISA KATOROKA NYUMBANI NA KWENDA KUISHI NA BOYFRIEND

Huko New Delhi india binti mwenye miaka 20 (Manju Kunwar) amechinja kwa kutenganishwa kicha na kiwiliwili kisa alitoroka na kwenda kuishi na mpenzi wake. Baba yake huyo inasemekana alimvumilia binti yake kwa muda mrefu na alipotoroka aliambiwa arudi nyumbani haraka sana kwakua anachokifanya ni kinyume na utamaduni wa kwao. Baada ya kupitisha siku moja ya maagizo ya kurudi nyumbani ndipo baba huyo alipokasirika na kumchinja binti yake kikatili. Mama wa binti huyo alikuwa shamba wakati wa tukio na alishindwa kuelezea chochote sababau ya huzuni aliyokuwa nayo, pia baada ya kufanya tukio hilo baba wa Manju Kunwar alijisarimisha kituo cha polisi.

No comments:

Post a Comment