Monday, June 25, 2012

OSTADH JUMA NA MUSOMA AMRUDISHA DOGO JANJA DAR KWA NDEGE



Dogo janja ambae wiki kadhaa zilizopita alirudishwa Arusha kwa basi na aliekuwa mlezi wake katika familia ya TipTop connection Madee, amefufua matumaini yake baada ya kupewa mkataba na Ostadh Juma Na Musoma.
Mkataba huo utahusu kusimamiwa katika elimu yake na kuendelezwa kimuziki.

No comments:

Post a Comment