Wednesday, June 13, 2012

AMCHINJA MPENZI WAKE KWA PANGA

Chilling message

Huko Bahamas mtu mmoja ajulikanae kwa jina la Prince Hepburn amemchinja mpenzi wake Nelie Brown-Cox kwa panga a.k.a Machete, polisi walisema kuwa jamaa huyo alijaribu kujiuwa kwa kujichoma na kisu kiunoni na kumeza vidonge..upande wa kwanza wa panga hilo uliandikwa "you are the next George Sawyer" yakimaanisha "unafuata wewe George Sawyer". Na upande mwingine ulikuwa umendikwa "this what cheaters get" yakimaanisha "haya ndo malipo ya msaliti". Pia polisi hao walisema kuwa jamaa huyo ambae ni mkandarasi wa kujitegemea alikiri kufanya kosa hilo la mauaji ya kinyama.
 Nellie Brown-Cox huyu ndie mwanamke aliechinjwa(42)



Prince Hepburn  huyu ndie alimchinja mpenzi wake (50).
 

No comments:

Post a Comment