Monday, June 11, 2012

MAMBO USIYOYAJUA HAYA HAPA

1).Idadi ya kuku duniani inalingana na idadi ya binadamu.

2).samaki aina ya shark ana uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 100

3).Mbu anavutiwa zaidi na rangi ya blu kuliko rangi nyingine yoyote.

4).Mnyama aina ya kangaroo hana uwezo wa kutembea kinyume nyume.

5).Zaidi ya heka 75 za pizza zinaliwa Marekani kila siku.

6).Raisi mstaafu wa Marekani Bill Clinton amewahi kutuma e-mail mbili tu
katika kipindi chake cha miaka 8 ya Uraisi.

No comments:

Post a Comment