Thursday, June 14, 2012

MTI WA MAAJABU IRINGA




Mti huu wa maajabu uliopa Kalenga karibu na makumbusho ya Mkwawa, una miaka zaidi ya 400, pia Mkwawa aliutumia mti huu kwa ajiri ya matambiko.
Maajabu yake ni kwamba ukifika msimu wa maembe mti huu huzaa maembe na ukifika msimu wa machungwa mti huu hutoa machungwa.
(mjengwa blog).

No comments:

Post a Comment