Tuesday, June 12, 2012

FILAMU ZA NGONO ZASABABISHA WATOTO KUBAKWA WINGEREZA

Picture posed by model 


wavulana wengi wenye umri kati ya miaka 14 na 15 nchini Wingereza wamekuwa wakiunda makundi ya ubakaji na kuwabaka wasichana wenye umri kati ya miaka 11 na 13.
Wavulana hao huwa wanaanza kuwashawishi wasichana katika mitaandao mbalimbali ya kijamaii kwa kuchat baada ya hapo huomba wakutane na ndo hapo huanza kampeni zao za ubakaji kwa kuiga style na mambo yote yanayofanyika katika filamu za ngono.
Kamanda wa ngazi za juu wa polisi nchini humo alielezea ni jinsi gani watoto hao wanavyowabaka watoto wenzao wa kike, "kuna binti mmoja alibakwa zaidi ya masaa mawili na kundi la vijana hao","hutumia blackberry messenger kuitana pale wanapopata msichana wa kumbaka" alisema kamanda huyo.(the sun).

No comments:

Post a Comment