Wednesday, June 13, 2012

AMTWANGA NGUMI MHASIBU KISA KALIWA HELA KATIKA KAMALI

Lashing out ... punter hits female cashier

Huko Wingereza mtaa wa South Gate jamaa mmoja anatafutwa na polisi baada ya kumpiga ngumi mbili mhasibu katika kampuni moja inayojihusisha na na maswala ya betting.
Mhasibu huyo alipata kipigo hicho baada ya jamaa kudai hela zake alizopoteza katika betting na mhasibu huyo alipogoma kutoa jamaa alijifanya anaondoka kisha aligeuka na ngumi zilizotua moja kwa moja katika uso wa mhasibu huyo.

No comments:

Post a Comment