Thursday, August 23, 2012

WADADA WATATU JELA KWA KUMBAKA MWANAJESHI




Huko Nigeria wasichana watatu Hannatu Ibrahim [23], Wosila Hassan [20] na Rukayya Hassan [21] wamefikishwa kizimbani baada ya kumbaka mvulana mmoja ambae ni mwanajeshi ajulikanae kwa jina la Abdulrahman Sulaiman,[20].
Ilikuwa ni katika mwezi mtukufu wa Ramadhani katika mji wa Gusau ambapo kijana huyo alipovamiwa na wadada hao watatu alipokuwa anakwenda katika maandalizi ya kujifunza kulenga shabaha, wadada hao walimpeleka mafichoni na kumbaka kijana huyo hadi alipoishiwa nguvu na kuzimia.
Inasemekana sheria ya nigeria haitambui kama ni kosa mwanamke kumbaka mwanaume ila tu mpaka pale atakaposhawishiwa na mwanamke mwenye umri mkumbwa sana zaidi yake.
Kwahiyo mahakama itabidi isubirie upande wa ushaidi kama utasema endapo kijana huyo alipiga kelele za kuomba msaada wakati wa tukio au kama wadada hao walitumia silaha yoyote kumtisha kijana huyo.

No comments:

Post a Comment