Wednesday, August 29, 2012

OSAMA HAKUULIWA NA MAKOMANDO BALI MAKOMANDO WALIMKUTA KASHAUWAWA.

Osama Bin Laden

Katika kitabu cha "no easy day" kilichoandikwa na mwandishi  MARK OWEN kinachoelezea jinsi operation iliyo ondoa uhai wa Osama Bin Laden ilivyofanyika, kitabu hicho kimeeleza kuwa makomando hao wa Marekani walimkuta Osama akiwa katika dimbwi la damu sekunde chache kabla ya makomando hao kusikia milio ya risasi mbili ikitokea katika chumba ambacho Osama alikutwa ameuwawa, inasemekana alie muua osama hakuoneka kutokana na kutokomea gizani.

No comments:

Post a Comment