Wednesday, August 22, 2012

LL COOL J AMFANYIA KITU MBAYA KIBAKA ALIETAKA KUIBA KATIKA NYUMBA YAKE.


LL Cool J Pic 

Ilikuwa mida ya saa nane za usiku ambapo kibaka mmoja alipovunja na kuingia katika nyumba ya LL COOL J, cool j alishtushwa na alarm ambayo aliiseti katika nyumba yake.
Kwa bahati mbaya mwizi  huyo aliingia choo cha kike kama wasemavyo mtaani, yani alivamia nyumba ambayo hakutakiwa kuingia kwani alipata kipigo kizito kutoka kwa jibaba LL COOL J.
COOL J alimbana kibaka huyo na kuwapigia simu polisi, na baada ya polisi kufika kazi yao ilikuwa ni kumbeba tu mwizi huyo na kumpeleka kituoni.

No comments:

Post a Comment