Tuesday, October 2, 2012

MWANAFUNZI BRAZILL AWEKA BIKRA YAKE MNADANI ILI KUPATA FEDHA ZA KUJENGA NYUMBA ZA WATU MASIKINI.

 


Huyu ndie msichana wa miaka 20 wa Kibrazill ambae pia ni mwanzafunzi wa chuo, mrembo huyu ameamua kuifanyia mnada bikra yake na kwa mtu atakae toa dau kubwa ndie atakae mtoa bikra, hela hiyo itakayopatikana itasaidia kujenga makazi ya watu masikini katika mji wake wa jimbo la Santa Catarina kusini mwa brazill.
Zoezi la kutoa bikra hiyo litafanyika ndani ya ndege itakayosafiri kutoka Australia hadi Marekani, na mshindi atapimwa magojwa yote ya zinaa na condom itatumika ili kuepuka sheria zote uchangudoa.
Anaeongoza kwa dau kubwa mpaka sasa ni Mmarekani Jack Mille ambae anaongoza kwa dau la $160,000.


No comments:

Post a Comment