
Watoto wakazi wa kata ya Sinde Mtaa wa Kijani Bichi, Ilolo mkoani Mbeya wakitumikishwa kubeba matofali kwa ujira wa shilingi 10 kwa tofali pamoja na jitihada za kukomesha ajira za watoto lakini bado tabia hiyo imekuwa ikiendela katika maeneo mengi nchini
No comments:
Post a Comment